Breaking News

Your Ad Spot

Apr 23, 2016

RICHARD KASESELA AONGOZA MAZISHI YA BRIGEDIA JENERALI GALINONA, IRINGA

 Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akihudhulia misa na kufika  mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma yaliyofanyika Iringa.
 Askari wa jeshi la wanachi JWTZ wakielekea makaburini
 Askari wa jeshi la Wananchi JWTZ wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekua  Brigedia Jenaral Galinoma.

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akiongoza mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma.
 familia ya marehemu wakiwemo watoto wakiweka shada .
 Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akitoa heshima zake za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa  marehemu, aliyekua Brigedia Jenerali Galinoma.
 Mazishi yakiendelea.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages