Breaking News

Your Ad Spot

Apr 17, 2016

WAZIRI NAPE KUKOMESHA RUSHWA MICHEZONI

 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye akizungumza na Watumishi wa Serikali na Wadau walio chini ya wizara yake wa mkoa wa Tabora ambapo aliwaambia kuwa atawaondoa wala rushwa na matapeli katika michezo nchini. PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages