Breaking News

Your Ad Spot

May 17, 2016

ASKARI WA KAMPUNI BINAFSI NUSURA KUZICHAPA NA ANAE DAIWA KUWA NI KONDA ENEO LA AJALI YA DCM ENEO LA NJIAPANDA YA JETI LUMO JIJINI DAR ES SALAAM

Mmoja wa konda (kushoto) ambae haikufahamika mara moja jina lake na  ni konda wa gari gani akitaka kuzichapa na  kati ya askari hao, alie vaa miwani kulia baada ya kutoleana Lugha ya kutoelewana kwa  na kusababisha kutaka kuzichapa eneo la tukio la ajali ya Gari aina ya DCM, eneo la njiapanda ya Jeti Lumo, ambapo gari hilo linafanya safari yake Gongolamboto - Masaki  

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages