Breaking News

Your Ad Spot

May 5, 2016

BALOZI WA KWANZA WA TANZANIA NCHINI KUWAIT AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO, NI BALOZI DKT. MAHADHI JUMA MAALIM


Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Dk. Mahadhi Juma Maalim (kushoto), akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Shekh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah (kushoto), Amir wa Serikali ya Kuwait katika sherehe zilizofanyika Ikulu ya nchi hiyo tarehe 03 Mei, 2016. Anayeshuhudia tukio hilo ni  Makamu wa Kwanza wa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kuwait, Mtukufu Shekh Sabah Al-khaled Al-Sabah. Tanzania imefungua rasmi Ubalozi nchini humo mwaka 2015.




Balozi Dk. Mahadhi Juma Maalim (kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Mtukufu Shekh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah (kushoto), Amir wa Serikali ya Kuwaitmara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages