Breaking News

Your Ad Spot

May 29, 2016

GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSAMABISHA MAJERUHI WATATU KUKIMBIZWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka  (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi   baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya Saa 2 usiku jana  eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam   (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Wananchi wakionyeshana kitu kinacho daiwa na wanachi hao kua ulikua mguu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages