Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ikulu)
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ikulu)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.(Picha na Ikulu)
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete(kulia) akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Ikulu ya Chamwino
nje kidogo ya Manispaa ya mji wa Dodoma leo Mei 3, 2016. JK ameonmgoza kikao chakamati kuuya CCM mjini
humo. (Pichan a Ikulu ya Zanzibar)
Dkt. Kikwete (katikati), akiwa na Rais
Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) na MakamuMwenyekiti wa CCM (Zanzibra)
na Rais wa visiwa hivyo, Dkt. Ali Mohammed Shein
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe,Mjaliwa Kassim Majaliwa (kulia) akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar,akifutatiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim na Dkt.Bi Mauwa
Daftari wakiwa katika kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya CCM uliofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma,chini ya Mwenyekiti
wake Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete,
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Nd,Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa Mkutano wa siku moja wa
Kamati Kuu ya CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wake Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akibadilishana mawazo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohmed Shein,(kulia) baada ya kumalizika kikao cha siku moja
cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika leo Ikulu ya Chamwini
Mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269