Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka
kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri leo, katika ukumbi wa
TAMISEMI mjini Dodoma. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Mei 3, 2016 katika ukumbi wa
TAMISEMI mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269