Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, akizungumza na
waandishi wa habari ( pichani hawapo) Mara baada ya kufungua Mkutano
baina ya ujumbe wa China, Zambia na Tanzania kukubaliana utaratibu wa
kuboresha Rali ya Tazara , Dar es Salaam jana (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Katibu wa
Baraza la Mawaziri la Zambia Dkt. Rowland Msiska akiwasilisha mada kwa wajumbe
wa mkutano wa kikao kazi ulioshirikisha nchi tatu za Zambia, China na
Tanzania kuhusu kuimarisha miundombinu ya reli ya Tazara
kufanya kazi kwa ufanisi na kukuza uimarishaji uchumi wa nchi
washiriki, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa
Baraza la Mawaziri la Zambia Dkt. Rowland Msiska, akizungumza na waandishi wa habari baada ya mkutano huo kufunguliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269