Breaking News

Your Ad Spot

May 9, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAJENGO KITEGA UCHUMI YA PPF NA NSSF JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia wakazi wa arusha na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipozindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo  (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016. PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages