Breaking News

Your Ad Spot

May 9, 2016

USAFRIKI WA MABASI YATUMIAYO NJIA MAALUM KUANZA KUTOA HUDUMA KESHO MEI 10, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) Bw. Giliard Ngewe (Kulia) na Kaimu Mtendaji Mkuu DART Bw. Ronald Lwakatare wakimkabidhi leo leseni ya usafirishaji Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya UDA-RT Bw. David Mgwassa (Katikati).usafiri wa mabasi yatumiayo njia maalum mjini Dar es Salaam, unatarajiwa kuanza kesho, Mei 10, 2016.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages