Meneja Mradi
wa Shirika la nyumba la Taifa NHC Kawe unaokwenda kwa jina la 711
Injinia Samwel Metil akitoa maelezo kwa Timu ya Menejimenti ya NHC
wote(Directors, Regional Managers & Line Managers) wakati
walipotembelea miradi ya 711 Kawe , Morocco Square, Victoria Place, Eco
Residence na Kibada ambapo ambapo pia watafanya pia kazi katiia miradi
hiyo Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwafahamisha juu ya maendeleo na
changamoto za miradi hiyo.
Mmoja
wa Mainjinia wa Mradi wa 711 Kawe Bw.Kishor Hirani akimelezea jambo
Meneja mradi Injinia Samwel Metil wakati menejimenti ya shirika hilo
ilipotembelea katika mradi huo.
Wakuu wa vitengo mbalimbali na mameneja wa mikoa wakitembelea mradi wa 711 Kawe leo.
Mmoja
wa Mameneja wa NHC kutoka mkoani Dodoma Itandula Gambalagi pamoja
na wenzake wakiwasili kutembelea mradi wa Morocco Square.
Muungano
Saguya kulia Yahya Charahani kushoti na Itandula Gambalagi
wakijadiliana jambo wakati walipotembelea mradi wa 711 Kawe pamoja na
wenzao.
Jengo la Mradi wa Eco Residents ambalo limekamilika kwa asilimia 99%.
Ujenzi wa mradi wa 711 Kawe ukiendelea.
The great escape.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269