Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa
kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la
Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup –
2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
picha yake aliopewa na kikundi cha sanaa wakati wa kufungua mashindano
ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati
ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi
(CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269