Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumuapisha
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza katika Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani
Dodoma. (Picha zote na Ikulu)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Asha-Rose
Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza katika Ikulu ndogo ya Chamwino
mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Dk. Asha-Rose Migiro Balozi wa
Tanzania nchini Uingereza pamoja na Profesa Cleophas Migiro mume wa Dk.
Asha-Rose mara baada ya tukio la uapisho katika Ikulu ndogo ya Chwamwino mkoani
Dodoma
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Dkt. Asha-Rose Migiro Balozi wa Tanzania
nchini Uingereza, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kutoka
kwenye tukio la kumuapisha Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi mpya nchini
Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Dkt. Asha-Rose Migiro Balozi wa
Tanzania nchini Uingereza huku Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na
Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Augustine Mahiga wakisikiliza
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269