Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Dk Abdallah
Possi (kulia), akiwasilisha mada katika semina ya Wabunge kukuza na
kuimarisha usawa wa watu wenye ulemavu nchini, kwenye Ukumbi wa Bunge wa
Msekwa mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Bukene,
Seleman Zedi (CCM) na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. (PICHA ZOTE
NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akifungua semina hiyo
Baadhi ya wabunge wakihudhuria kwenye semina hiyo
Zedi akiongoza majadiliana wakati wa semina hiyo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269