Tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mtanzania mwenzetu Bi Mwasaburi Haji kilichotokea Jumamosi jioni huko Glasgow Scotland.
Mipango ya mazishi inaendelea na mtajulishwa tarehe ya mazishi. Msiba uko nyumbani kwa Marehemu
2/1, 105 Mcculloch St. Glasgow, G41 1NT.
Kwa wale mlioguswa mnaweza kutuma rambi rambi zenu kwenye account ya ndugu wa marehemu A. AZIZ. Nationwide. Account No: 01491791,
Sort code: 07 04 36.
Sort code: 07 04 36.
Kwa mawasiliano zaidi mnaweza kumpigia ndugu wa Marehemu
A. AZIZ - 07411445644
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269