Mkuruzenzi
wa Kliniki ya Meno ya ABC ya Jijini Dar es Salama, Dr. Gombo Felician
(kulia) akizungumza na wanafunzi wapatao (71) wa Shule ya Msingi Fedha
ya Kawe, kabla ya kufanyiwa uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno bure ,
ikiwa ni moja ya wanafunzi hao
kutembelea kliniki hiyo kwa kujifunza jinsi ya utunzaji wa kinywa na
meno na kuwapa hamasa ya kupenda Udaktari na kati ya wanafunzi 71,
wanafunzi 45 wamekutwa na matatizo ya kinywa na wengine meno yamezibwa.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wanafunzi hao akifanyiwa uchunguzi wa Kinywa na Meno
Rehema
Mgaya, ambae ni Mwalimu alieongozana na wanafunzi hao akifanyiwa
uchunguzi wa kinywa na Meno ambapo amefurahishwa na huduma hiyo na
kuwaomba waalimu wengine na Taasisi kuwapeleka wanafunzi na hata
wafanyakazi kufanya uchunguzi kila mara wa Afya ya Kinywa na Meno kwa
kutembelea Kliniki hiyo
Mwalimu
alie ongozana na wanafunzi hao alipata matukio wakati wanafunzi hao
walipotembelea Kliniki ya ABC iliyopo, Msasani Jengo la Mgahawa wa KFC
Wanafunzi
hao wakifurahia jambo baada ya kufanyiwa uchunguzi wa Kinywa na Meno
katika Kliniki ya ABC iliyopo Msasani Jijini Dar es Salaam
Dr. Gombo akiagana na Wanafunzi kwa staili ya pekee huku wakiwa na tabasamu ya furaha wanafunzi hao
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269