|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili
kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya ambao walitembelea Bunge
mjini Dodoma akiwemo Msanii Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz
pamoja na Mafikozolo 12 Mei, 2016. |
|
Wasanii
wa kizazi kipya, Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (wa tatu kushoto)
pamoja na Mafikizolo wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mbunge
Dodoma. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Babu Tale (katikati). Kushoto ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January
Makamba Bungeni Dodoma. |
|
Mhe. Nape Nnauye (wa pili kulia) pamoja na Mhe. January Makamba (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii
Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo
Bungeni mjini Dodoma. |
|
Mhe.
Nape Nnauye (kushoto) pamoja na Mhe. January Makamba (kulia) na Mbunge
mwingine (mwenye suti nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii
Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo Bungeni
mjini Dodoma. |
(CHANZO NA BENEDICT LIWENGA, DODOMA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269