Balozi wa China Nchini Tanzania, Lu Youqing (katikati) akizungumza jambo kabla ya uchanjiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Muhimbili Makwaia Makani (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Jopo la madaktari walio ongozana na Balozi huyo wakisikiliza kwa makini wakati balozi alipokua akizungumza jambo
Baadhi ya Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakisikiliza kwa umakini wakati Balozi huyo alipokua akizungumza jambo
Wakielekea katika chumba cha Maabara Kuu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili
Balozi Lu Youqing akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili Makwaia Makani
Muuguzi mwandamizi Daraja la Pili Elizabeth Alen akiangalia wingi wa Damu wakati Balozi huyo alipofika kuungana na Watanzania kuadhimisha siku ya Damu, ambapo Kitaifa Maadhimisho hayo yamefanyika mjini Dodoma
Lu Youqing akipata chai baada ya kuchangia Damu
Wauguzi wakiwa katika chumba cha kutolea damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Shirikishi Dr. Praxeda Ogweyo (kulia) akizungumza na Balozi, Lu Youqing , wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kiwete na watatu kulia ni Kaimu Mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili Makwaia Makani
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, MHN, Makwaia Makani (kulia), akimkabidhi cheti cha shukrani Balozi. Lu Youqing baada ya kutoa damu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269