Kamishna
Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akipunga mkono kwa Maofisa, wakaguzi,
Askari na wageni mbalimbali waliohudhururia sherehe za kumuaga rasmi Jeshini
baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,
Abdulrahman Kaniki katika Chuo cha Polisi Moshi (PICHA ZOTE NA FRANK GEOFRAY-JESHI LA POLISI)
Kamishna
Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akikagua gwaride maalumu
lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa sherehe za kumuaga rasmi Jeshini
baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,
Abdulrahman Kaniki katika Chuo cha Polisi Moshi
Gari
maalumu lililombeba Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova likipita
katika ya gwaride ikiwa ni ishara ya kumuaga zilizofanyika katika Chuo cha
Polisi Moshi nakuongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman
Kaniki
Gwaride
Maalumu la Kumuaga Kamishna Mstaafu Suleiman Kova likipita mbele yake kwa
mwendo wa haraka wakati wa Sherehe za kumuaga rasmi baada ya kustaafu
utumishi.Sherehe hizo zilifanyika katika chuo cha Polisi Moshi

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269