
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya
shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016. Kulia ni Gavana wa
Benki Kuu, Profesa Benno Ndullu, na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara
ya Fedha Zanzibar, Khamisi Musa Omar


Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisimama kwa ukakamavu
wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango,
Dkt Servacius Likwelile,(wapili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Fedhana Mipango
Zanzibar, Khamis Mussa Omar, (wakwanza kushoto), Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania, Profesa Benno Ndullu, 9wapili kushoto), na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s
salaam Mhe Paul Makonda(wakwanza kulia). kwenye maadhimisho ya miaka 50
ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22,
2016

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile alipowasili
kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT
jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016


Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akatika picha ya
pamoja na Magavana na Manaibu Magavana na menejimenti ya BOT kwenye maadhimisho
ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam
leo Juni 22, 2016

Wageni waalikwa

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia
wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi
wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016

Wageni waalikwa

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akibofya kitufe
kuashiria uzi8nduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya
Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo
Juni 22,
2016

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua Kitabu
kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT
jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269