Breaking News

Your Ad Spot

Jun 19, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZIMAMOTO AFUNGA MAFUNZO YA WAHITIMU 156

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira akikagua Gwaride la askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya wahitimu 156  wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, katika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji, kilichopo katika Kijiji cha  Cogo Wilaya ya Handeni, Tanga,

Gwaride likipita mbele ya Mgeni Rasmi
Mgeni Rami katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Handeni Tanga, Husna Msangi  wapili kushoto na kuanzia kilia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani  Rwahila, Sajenti Damian Muheya ambapo ni Afisa habari wa Jeshi hilo na anae fatia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye. PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA>PICHA ZAIDI>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages