Breaking News

Your Ad Spot

Jun 19, 2016

THE POOL OF SILOAM CHURCH WAUOMBEA AMANI MKOA WA DAR ES SAALM NA TANZANIA KWA JUMLA, LEO


Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde, jijini Dar es Salaam. Picha zote na Bashir Nkoromo
 Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam  Church, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. PICHA KEM KEM ZA TUKIO HILO> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages