Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akiwa na wafuasi wake
katika chumba cha mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo kipindi
cha mchana, ambapo asubuhi iliahirishwa kutokana na mvutano wa vifungu
vya sheria kuto kubaliana kwa mawakili wa pande zote na ndipo Mh. Jaji kutoa mwanya kwa mawakili hao kujadiliana na kurudi tena kusikiliza saa 8 mchana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wafuasi hao wakisikiliza kwa makini
Mama
Mtemvu akizungumza jambo na Katibu Mwenezi wa Miburani, Ally Kamtande (wa pili kushoto) mara baada ya kutoka katika chumba cha Mahakama kuu ya Tanzania
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269