JK alikuwa Rais wa kwanza wa Afrika kufunguliwa mlango Ikulu ya Obama..
Msingi wa
mahusiano mazuri kati ya Marekani na Afrika katika utawala wa Obama kwa
kiasi kikubwa ulianza kujengwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete.
Pichani ni ofisi ya Obama ' Oval Room', alhamisi, Mei 21, 2009. Kati ya
Hillary Clinton na Donald Trump, mmoja wao, Trump, ameonyesha wazi
kupitia hotuba zake, kuwa hana 'mahaba' na Afrika.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269