Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akikata utepe kwenye vitabu ambavyo ni muongozo wa kazi kwa ajili ya
Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ikiwa ni ishara ya
Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika kwenye Makao Makuu
ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bw.Bernard Konga.Katika
hotuba yake, Waziri Ummy ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
kuisaidia wizara ya Afya kwa mafanikio ya wizara hiyo yatatokana na
utendaji uliotukuka wa Taasisi mbili ambazo ni NHIF na MSD yaani Bohari
ya Madawa kutakuwa na mafanikio makubwa kwa wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya (NHIF) Mama Anne Makinda , mara baada ya Uzinduzi wa Bodi
hiyo, uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo,
Kurasini Jijini Dar es salaam. katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akimkabidhi vitendea kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), Bernard Konga kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Mpya ya Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mama Anne Makinda , mara baada ya
Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika Juni 11, 2016 kwenye Makao Makuu
ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ,
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga
na Mwenyekiti wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
Mama Anne Makinda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi
huo jana
Mwenyekiti wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mama Anne Makinda akizungumza mara baada ya uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa mfuko huo wakiwa katika uzinduzi huo.
Eugine
Mikongoti, Mkurugenzi wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati
akitembelea na kukagua vitengo mbalimbali vya NHIF katikati ni Mama Anne
Makinda Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.
Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katikati wakati alipotembelea kituo cha huduma kwa wateja kulia ni Mama Anne Makinda Mwenyekiti wa Bodi ya NHIFM.
MKurugenzi wa Huduma NHIF Bw Raphael Mwamoto akitoa maelezo kwa Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Mama Anne Makinda, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF
Bw. Bernald Konga na wajumbe wa bodi wakati alipotembelea kitengo cha
kuhifadhi nyaraka
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Mama Anne Makinda wakitembelea maeneo
mbalimbali mfuko huo.
Baadhi ya wakuu wa vitengo kutoka mfuko wa bima ya Afya NHIF na Wizara ya Afya wakiwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NHIF na Waandishi wa habari wakiwa katika zuinduzi huo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Kongaakitoa neno katika uzinduzi huo.
Rehani
Athumani Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akizungumzana kukaribisha
wajumbe wa bodi na wageni mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa bodi
ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF katika makao
makuu ya mfuko huo Kurasini jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika uzinduzi huo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269