Breaking News

Your Ad Spot

Jun 7, 2016

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TANAPA NA WAHARIRI NA WANAHABARI WAANDAMIZI WAMALIZIKA LEO MJINI MOROGORO

Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Ibrahim Mussa akitoa mada, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa TANAPA na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii zikiwemo Blog, uliokuwa ukiendelea leo katika ukumbi wa VETA, mkoani Morogoro. Mkutano huo ambao umehusu kupanua uelewa kwa wanataaluma hao kuhusu shughuli za TANAPA, ulianza jana.

 Mmoja wa washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TANAPA na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii zikiwemo Blog, Jesse Kwayu, akiuliza swali, wakati wa mkutano huo, uliokuwa ukiendelea leo katika ukumbi wa VETA, mkoani Morogoro. Mkutano huo ambao unahusu kupanua uelewa kwa wanataaluma hao kuhusu shughuli za TANAPA, ulianza jana.
 Washiriki wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo leo
 Washiriki wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo leo
 Washiriki wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo leo
 Baadhi ya wahariri wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wakati wa mapumziko ya mkutano mkuu wa mwaka wa TANAPA na wahariri na waandishi wa habari waandamizi, ulipokuwa ukiendelea leo katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.  Mkutano huo umeandaliwa na TANAPA. Kutoka kushoto ni Salehe kutoka Tanzania Daima, Mbaraka Islam wa Raia Tanzania na Joachim Mushi ambaye ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa the Habari.com Blog
 Baadhi ya wahariri wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wakati wa mapumziko ya mkutano mkuu wa mwaka wa TANAPA na wahariri na waandishi wa habari waandamizi, ulipokuwa ukiendelea leo katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.  Mkutano huo umeandaliwa na TANAPA. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angel Akilimali, Matinyi Masiaga na Absolum Kibanda
 Baadhi ya wahariri wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wakati wa mapumziko ya mkutano mkuu wa mwaka wa TANAPA na wahariri na waandishi wa habari waandamizi, ulipokuwa ukiendelea leo katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro.  Mkutano huo umeandaliwa na TANAPA. 
 Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Pascal Shelutete akizungumza wakati wa mkutano huo
 Mmoja wa Washiriki wa Mkutano huo, Deo Mushi, akisoma maazimio ya mkutano huo
Mmoja wa Washiriki wa Mkutano huo, Deo Mushi, akisoma majumuisho ya mkutano huo, huku wadau wakimsikiliza. PICHA NYINGINE KEDEKEDE ZA MKUTANO HUO TAFADHALI>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages