Breaking News

Your Ad Spot

Jun 8, 2016

NAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO MHE. ANASTAZIA WAMBURA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI MHE. HANNE – MARIE KAARSTAD MJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.  Anastazia Wambura akimwonyesha Balozi wa Norway nchini.  Hanne – Marie Kaarstad picha za mazao ya mbogamboga ambayo yamelimwa katika kilimo kinachowezesha mazao mchanganyiko kustawi katika mazingira yenye hali ya hewa iliyodhibitiwa mkoani Mtwara.

Balozi wa Norway nchini.   Hanne – Marie Kaarstad akimshukuru Naibu  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura kwa zawadi ya kanga aliyompa
Balozi wa Norway Nchini Mhe. Hanne – Marie Kaarstad (kushoto) akimweleza. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Anastazia Wambura kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayofanywa na Norway hapa nchini ukiwemo mradi wa kuwawezesha   wanawake kiuchumi kupitia VICOBA.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages