Wananchi wakiangalia ajali ya Noah
yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa kuacha njia na kuparamia
daladala namba T 797 DEW eneo la Buza Njia Panda ya Kitunda jijini Dar
es Salaam, Katika ajali hiyo watu wawili waliokuwa kwenye Noah
hiyo waliotajwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),
walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Temeke kwa matibabu.
Noah hiyo ikiwa kwenye mtaro baada ya kutokea ajali hiyo.
Daladala lililogongana na Noah hiyo likiwa eneo la tukio.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269