Mkuu
wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa
harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya
Muungano John Pombe Magufuli kwaniaba ya Wilaya yake Karagwe ambapo
harambee hiyo ilifanyika Jijini, Dar es Salaam kulia ni Mwenyekiti
Halmashauri ya Wilaya hiyo, Willace Mashanda na kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo wakati
wa harambeee ya uchangiaji wa madawati kwa niaba ya shule zilizopo
katika Wilaya yake ya Karagwe,
Mc,
ambae ni Mhasibu wa Shirika la Bima la Taifa Mkoa wa Iringa, Symbert
Kanyabuhora akizungumza jambo wakati alipokua akisherehesha hafla hiyo
ya harambee ya uchangiaji wa madawati iliyofanyika Jijini, Dar es Salaam
Aliekuwa
Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes
akifurahiya jambo kwa kupiga makofi mara baada ya Mbunge wake wa Jimbo
hilo la Karagwe, Innocent Bashungwa alipokua akizungumza jambo wakati wa harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
Wadau wa ishio Dar es Salaam ambao ni wazaliwa wa Karagwe wakiwa katika harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
Kuanzia
kulia ni Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Karagwe, Eng, Walter Kirita,
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallace Mashanda, Mkuu
wailaya ya Karagwe Deodatus Kinawiro, Mbunge wa Jimbo la Wilaya ya
Karagwe Mh. Innocent Bashungwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya
harambee hiyo, Medard Birusya
Sehemu ya wadau
Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini
Mshauri
wa Fedha na Biashara (Consultant) Dar es Salaam na Mkurugenzi Mstaafu
wa Fedha kwenye Kampuni za Kigeni ambazo zinatoka Afrika ya Kusini,
Leopold Bulondo akiwapungia wadau waliofika katika harambee hiyo ya
uchangiaji madawati kwa niaba ya Wilaya yao ya Karagwe mara alipo
tambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe kwenye harambee hiyo
Aliekuwa
Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes
akizungumza jambo kwa kufurahia jambo mara alipokua akizungumza Mbunge
wake Innocent Bashungwa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269