Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimvalisha miwani malum, mwanafunzi wa Chuo hicho mwenye ulemavu wa ngozi.
MKurugenzi Mtendaji wa Uhuru DM Angel Akilimali akimvisha mtandio maalum mwanafuzni wa Chuo hicho mwenye ulemavu wa ngozi. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi kwa wenye ulemavu Yombo, Mariam Chellangwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM akikabidhi mpira wenye kengere ndani, kwa ammoja wa wanacfunzi wa Chuo hicho mwenye ulemavu wa macho.
Baadhi ya viongozi wa Uhuru FM, wakiwa na Mwalimu wa Chuo hicho, Aloyce Mkuna (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye chuo hicho. Kulia ni Mhariri wa Habari Pius Ntiga, Meneja Rasilimali watu na Utawala Narsis Mbise, Sigoli Paul ambaye ni Mwandishi na Mtangazi

Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi kwa wenye ulemavu Yombo, Mariam Chellangwa akiwakaribisha rasmi msafara mzima wa Uhuru FM ulipowasili katika chuo hicho
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika picha za pamoja na wanafunzi wa Chuo hicho, mwishoni mwa ziara hiyo. Picha na Emmanuel Ndege. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA







No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269