June 21,2016, Mhariri wa 102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo, Amos Gomba, anatimiza miaka 36 ikiwa ni jumla ya miaka yake tangu azaliwe June 21,1980 katika Kijiji cha Handali mkoani Dodoma.
Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Uongozi wa #LakeFm umemuandalia hafla fupi ya kumpongeza, iliyofanyika katika ofisi za redio hiyo zilizopo Mtaa wa Liberty Jijini Mwanza.
Pichani ni Meneja wa Lake Fm, Genipher Deus, akimmwagia maji mtoto aliezaliwa hii leo kama ishara ya kumuogesha.
Imeandaliwa na BMG
Mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Prosper Kulita, akimuogesha mtoto aliezaliwa
Mwanahabari wa Lake Fm & BMG, George Binagi, akimwogesha mtoto aliyezaliwa leo.
Mtangazaji wa Lake Fm, Kattie, akimwogesha mtoto aliyezaliwa leo.
Kattie akideka kwa mtoto aliyezaliwa leo
Mtoto aliyezaliwa leo, akimlisha keki staff mwenzake
Meneja wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Jenipher Deus, akimlisha keki mtoto aliyezaliwa leo
Mkuu wa Vipindi 102.5 Lake Fm Mwanza, Yusuph Magupa, akimlisha keki mtoto aliyezaliwa leo
Mtoto aliyezaliwa leo, akimlisha keki Mkuu wa Vipindi 102.5 Lake Fm Mwanza
Producer wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Eizer Beatz, akimlisha keki mtoto aliyezaliwa leo
Mtoto aliyezaliwa leo akimlisha keki mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza & BMG, George Binagi-GB Pazzo
Mtoto aliyezaliwa leo akimlisha keki, Mkuu wa Idara ya Ufundi 102.5 Lake Fm, Benjamin Kanuda.
Mtoto aliyezaliwa leo, akimlisha keki mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Prosper Kulita.
Mtoto aliyezaliwa leo akimlisha keki, Elizabeth Bonaventure, Lake Fm
Mtoto aliyezaliwa leo akimlisha keki mkuu wa idara ya muziki Lake Fm, Herbert HQ
Mtoto aliezaliwa leo akimlisha keki mdau wa 102.5Lake Fm, Barry Nyororo mzee wa Busy Bee!
Wananzengo wa 102.5 Lake Fm wakifurahia Birth Day Party
Wananzengo wa 102.5 Lake Fm wakifurahia Birth Day Party
Mwandishi na Mhariri wake wakiwa katika Selfiee la kibabe
BMG inakutakia Maisha Mema, Amos Gomba, Mhariri 102.5 Lake Fm Mwanza. #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269