Breaking News

Your Ad Spot

Jul 6, 2016

MABADILIKO YA RATIBA YA MAZISHI YA MHESHIMIWA BEATRICE SHELUKINDO


Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages