Breaking News

Your Ad Spot

Jul 6, 2016

SWALA YA EID EL-FITR VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM


Watoto wakishiriki swala hiyo.
Sheikh Zaki akiwasalimia waumini wenzake waliokuwepo kwenye swala hiyo.
Ibada ikiendelea.
Swala ikifanyika katika viwanja hivyo vya Mwembe Yanga.
Sheikh Abdulkadir Mohamed akiongoza swala ya Ed El- Fitr.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwa unyenyekevu mkubwa katika swala hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages