.

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZANA WAFANYAKAZI WA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO

Jul 27, 2016

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuingia ukumbini kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi, wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu wa Sekretarieti ya CCM, Anamringi Macha.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula  na waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa wakiingia ukumbini, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa CCM Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa amewasili ukumbini, kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi, wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa tayari meza kuu kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa CCM katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Wafanyakazi wa Kada mbalimbali wa makao makuu ya CCM mjini Dodoma wakiwa wamesimama kumshangilia Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili ukumbiji kujitambulisha rasmi na akuzungumza nao
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa tayari meza kuu kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa CCM katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa maneno ya utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa CCM makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo.  Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula

Wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma wakiwa tayari kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM,Rais Dk. John Magufuli
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akijitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Kushoto ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula

Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa akizungumza baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli katika kikao hicho
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akizungumza baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli katika kikao hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ya kuzungumza kwa kina na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimianana wafanyakazi mbalimbali wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kujitambulisha rasmi kwaona kuzungumza nao leo. Zinazofuata ni wafanyakazi hao kupata chakula cha mchana na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli. Katika hali isiyo ya kawaida, Dk. Magufuli (kulia ) aliwatanguliza wafanyakazi na baadhi ya viongozi kuchukua chakula kabla ya yake ili kuonyesha ukarimu.
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaandaa watfanyakazi kupigwa picha ya pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kujitambulisha rasmi na kuzngumza nao, leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk John Magufuli (kulia) akiwaaga wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, baada ya kujitambulisha rasmi na kuzungumza nao leo.zifuatazo ni picha za wafanyakazi waliokuwa ukumbini kabla ya Dk. Magufuli kuingia ukumbini. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.

 HAPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช