Breaking News

Your Ad Spot

Jul 27, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA, AZUNGUMZA NA SEKRETARIETI NA WATUMISHI WA CHAMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa  Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na na kshoto baadhi yao ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu Majaliwa KassimMajaliwa, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Picha zote na Bashir Nkoromo)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (aliyesimama) akitoa maneno ya utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma leo
---
MWENYEKITI, RAIS DK. MAGUFULI AKIWASILI
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Hamdan Meghji alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka,  alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana naKatibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi, Seif Shaban Nasoro alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi  alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka Hamdu Shaka alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa CCM wa Shirikisho, Siraji Madebe alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti, Anamringi Macha alipowasili Makamo Makuu ya CCMleo, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ya Mwenyekiti kuwasili Makao Makuu ya CCM, leo. Kushoto ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Wapili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages