Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi
(Gavu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman wakiwa ni miongoni mwa Viongozi
waliohudhuria katika kuapishwa Viongozi mbali mbali leo Ikulu Mjini
Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Said Bakar
Jecha kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Septuu
Mohamed Nassor kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)
akimuapisha Dk.Juma Yakout Juma kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa Baraza la
Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathmini) katika hafla iliyofanyika Ikulu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269