.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA MJINI DODOMA, LEO

Jul 26, 2016

 Viongozi wa Kitaifa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika maadhimisho ya siku ya mashujaa yaliyofanyika leo Mjini Dodoma
 Kikundi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakipiga wimbo wa Taifa wakati wa maadhimisho ya siku ya mashujaa yaliyofanyika leo Mjini Dodoma,mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
 Vikosi vya ulinzi vikiwa katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa katika maadhimisho yaliyofanyika leo Mjini Dodoma ikiwa ni kawaida ya kila ifikapo tarehe kama hii kuwakumbuka  kwa jinsi walivyojitolea kuikomboa nchi yetu,[Picha na Ikulu
 Mchungaji Leonard Muchaicha akiombea dua Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya mashujaa yaliyofanyika leo Mjini Dodoma ikiwa ni kawaida ya kila ifikapo tarehe 25/07 kama hii kuwakumbuka  kwa jinsi walivyojitolea kuiko mboa nchi yetu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (kushoto) na Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Generali Devis Mwamunyange wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Mashujaa iliyofanyika leo katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma,
  Baadhi ya maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mashujaa yaliyofanyika leo katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma
 Wananchi kwa Maelfu waliohudhuria katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mashujaa wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama alipotoa tamko  la DODOMA kuwa makamo Makuu ya Serikali  katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo
 Wananchi kwa Maelfu waliohudhuria katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mashujaa wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama alipotoa tamko  la DODOMA kuwa makamo Makuu ya Serikali  katika uwanja wa mashujaa Mjini Dodoma leo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama alipokuwa akizungumza na  Maelfu ya wananchi wa Mji wa Dodoma leo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Mashujaa
Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa, Julai 25, 2016. 
 Rais John Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi,Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa, Julai 25, 2016.  Kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubei Ali Maulid na wapili kulia ni Spika wa Bunge, Dkt, Tulia Ackson
 Wananchi wa Dodoma waliojitokeza kushiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma wakimsikilza Rais John Maguguli wakati alipozungumza kwenye maadhimisho hayo mjini julai 25, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda  katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula  na watatu kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu ,John Malecela
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafari Mwanyembwa  katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma , Julai 25, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali , Davis Mwamunyange katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi, Ernest Mangu, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Davis Mwamunyange na Kamishina Jenerali wa Magereza John Minja(kulia)m katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa  mjini Dodoma , Julai 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Minja katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa kwenye uwanja wa Mashujaa  mjini Dodoma , Julai 25, 2016. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi , Jenerali Davis Mwamunyange na kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª