Breaking News

Your Ad Spot

Aug 14, 2016

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA SHULE YA LITTLE TREASURES YANOGA


Hapa ni katika shule ya msingi Little Treasures iliyopo eneo la Bugayambelele katika manispaa ya Shinyanga ambapo leo Jumamosi,Agosti 13,2016 kumefanyika sherehe ya maadhimisho ya miaka Mitano tangu kuanzishwa shule hiyo Julai mwaka 2011. KWA PICHA KEM-KEM ZA MAADHIMISHO HAYO>>GONGA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages