Breaking News

Your Ad Spot

Aug 17, 2016

MAHEMEHU ABOUD JUMBE ASOMEWA HITMA LEO MJINI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,
 Waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika msikiti wa Mushwawal Mwembe Shauri Mjini Unguja wakisoma dua ya Khitma leo ya kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani
Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi  akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  pamoja na Viongozi na Wananchi na waislamu walioshiriki katika Khitmaya Dua ya kumuombea  Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi,Iliyosomwa leo katika Msikiti wa Mushawala Mwembe shauri Mjini Unguja

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages