Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akizungumza na watendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Kaitlin Meredi (kulia) na Johan Kruger (kushoto), walipomtembelea
ofisini kwake,jijini Dar es Salaam, leo. Ziara hiyo ikiwa na lengo la kujadili
njia muafaka za kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya
kwa jamii.
Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Biashara Haramu
ya Dawa za Kulevya kutoka Shirika la
Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC), Johan
Kruger(kushoto), akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, baada ya mazungumzo yao, walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia
juhudi mbalimbali za kupambana na
biashara haramu ya Dawa za Kulevya.Kulia ni Mratibu wa Kupambana na Uhalifu wa Majini, Kaitlin
Meredith
Your Ad Spot
Aug 17, 2016
Home
Unlabelled
WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NA UHALIFU (UNODC)
WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NA UHALIFU (UNODC)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269