.

MTEMVU AKITOKA MAHAKAMANI

Aug 3, 2016

 Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa katika chumba cha Mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015
 Wafuasi wa aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya kuanza kusikilizwa
  Mbunge wa Jimbo la Temeke,  Abdallah Mtolea (kulia) akiteta jambo na Mwanasheria wa Serikali ambae jina lake halikupatikana mara moja katika chuma cha Mahakama Kuu ya Tanzania   mara baada ya kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015,  kuahirishwa
 Aliekua Mbunge wa Jimbo la  Temeke,  Abbas Mtemvu (wapili kulia)  akitoka nje ya mahakama kuu ya Tanzania baada ya kesi hiyo ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015


 
Katibu mwenezi Kata ya Miburani Ally Kamtande akizungumza na wafuasi wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu baada ya kumalizika kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)   Mmiliki wa ujijirahaa blog            

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª