.

ASKARI POLISI AWATULIZA WANANCHI

Aug 3, 2016

Askari wa Jeshi la Polisi, ambae jina lake halikupatika na mara moja akiwatuliza wananchi  waliokuwa katika Stesheni ya Dar es Salaam waliofika Stesheni hapo kwa lengo la kupata Tiketi za kusafiria kwenda Bara 

Askari akizungumza na wananchi waliokua wakiongea kwa hisia kali baada ya kukosa Tiketi ambao walikuwa wamekusanyika Stesheni hapo baada ya kukosa Tiketi za kwenda mikoani kupitia Reli ya kati inayopita, Morogoro, Dodoma, Tabora   ambapo walizua mzozo na kutaka kujua nikwanini watu wanakaa

 muda mwingi  kuanzia  asubuhi na mara wanakatiwa tiketi  watu wachche wanaambiwa tiketi hakuna,  ndipo askari huyo aliweza kuingilia kati na kuwatuliza wananchi hao na kuwaeleza anae hitaji tiketi ya kwenda Mwanza zipo ila za Kigoma zimekwisha, wananchi hao waliweza kumsikiliza tofauti na Askari wa Kampuni

 wanao simamia usalama hapo Setesheni ambapo walikuwa wamemzingira huku wajimuhoji  maswalili Askari huyo ambae jina halikuweza kupatikana mara moja, waliweza kumzingifa Askari huyo. (PICHA NA KAHIMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª