.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKIONGOZA KIKAO CHA MAMEYA NA MADIWANI NA WATENDAJI WENGINE

Aug 2, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati) akizungumza katika kikikao cha Wakuu wa Wilaya, Madiwani na Watendaji kuhusiana na wavamizi waliojenga sehem za wazi kilicho fanyika Jijini,  Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando  na Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Diwani wa Kata ya Toangama, Mohamed Mketo (wa pili kulia) akizungumza katika Kikao hicho cha  Wakuu wa Wilaya, Madiwani na Watendaji kuhusiana na wavamizi waliojenga sehem za wazi kilicho fanyika Jijini,  Dar es Salaam, kulia ni Diwani wa Viti Maalum Kata Tandika, Manispaa ya Temeke, Mariam Mtemvu 

Naibu Meya wa Temeke, Salum Faisal (kushoto) akizungumza katika Kikao hicho cha  Wakuu wa Wilaya, Madiwani na Watendaji kuhusiana na Kikao kilicho ongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko (katikati), akizungumza jambo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช