Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Kiwanda cha sukari cha Kagera, Ashuwin Rana baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa Agosti 2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kagera Sugar na Mtibwa Sugar, Seif Ali Seif
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa kukagua uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kulia ni mkewe Mary, wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif . Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa Wa Morogoro, Kulwa Solobi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipotembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt.Stephene Kebwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269