Mmoja wa abiria akipanda ndani ya Behewa Dar es Salaam jana akielekea Kigoma kwa kutumia usafiri wa haraka (EXPRESS),
ambaye alifahamika kwa jina la Fatuma Kininga, aliushukuru uongozi
mzima wa Shirika la Reli Tanzania, kwa maamuzi yao ya kuanzisha
usafiri huo, ambapo ni mkombozi kwao, aliendelea kusema kubwa hasa
linalo wasumbua ni upatikanaji wa Tiketi ni mgumu kiasi ambacho kina
wagharimu sana, alisema, anawaomba wanao tumia usafiri huo kuwaomba
kuzidi kutunza mazingira bila shuruti kwa kushirikiana na wafanya kazi
kuona ni mali yake, kuto kanyaga viti, kula vitu na kutupa ndani ya
mabehewa hayo, kuweka sheria kali na kuendelea kupewa elimu kila mara
kwa abiria wanao tumia usafiri huo na kila mmoja kuwelimisha mwenzake na
kuwa mlinzi kwa mwenzake, hayo aliyasema jana wakati alipokuwa ndani ya
behewa Dar es Salaama jana. (PICHA ZOTE NA KAHMISI MUSSA)
Abiria wakiwa ndani ya Behewa tayari kuelekea Bara
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269