.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA DARAJA KWENYE MTO KAVUU, WILAYA YA MLELE, MKOA WA KATAVI

Aug 23, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo leo

Ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake leo (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช