Meneja wa kitengo cha Masoko wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Sylvester
Bahati (kulia), akikabidhi magodoro 50 kwa Mkuu wa kituo cha watoto
wenye mahitaji aalumu kilichopo Chamazi, Bi. Winfrida Rubanza. Pichani
chini ni Bi. Winfrida Rubanza akihojiwa na mwandishi wa habari. Tukio
hili liliratibiwa na Benki ya Diamond Trust ikishirikiana na Bi Lorna
Dadi ambaye ni mwandishi wa kitabu cha Vipande Vya Maisha.
NA IMMA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269