Breaking News

Your Ad Spot

Sep 7, 2016

MUSEVENI AWASILI DAR KWA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI SEPTEMBA 8, 2016

 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, (mwenye mpama), Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu Septemba 7, 2016. Rais Museveni yuko nchini kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Ikulu Alhamisi Septemba 8, 2016. (PICHA NA IKULU)

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho


Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho





Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages