Udhibiti wa mifugo inayozurura mitaani mijini bado unakabiliwa na changamoto kutokana na baadhi ya wafugaji kutozingatia sheria za ufugaji mifugo mijini. Pichani, kondoo wakikatiza mbele ya magazri barabarani katika eneo la Ukwamani, Kawe wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo na hivyo kuhatarisha usalama barabarani. (Picha na Bashir Nkoromo).
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269