.

WACHEZAJI SIMBA WAMKUMBUKA KIPENZI CHA TIMU HIYO MAREHEMU PATRICK MAFISANGO BAADA YA KUICHAPA AZAM BAO

Sep 18, 2016


 Mwananchi ambaye jina lake halikupatikana mara moja (kushoto) akiongea kwa shida na alisema tiketi alikuwa nayo halali na huku akibubujikwa na machozi akidai kupikwa kirungu na mmoja wa askari waliokuwa Uwanja wa Uhuru  wakati Timu ya Simba na Azam  FC zilipokuwa zikichuana ambapo Simba iliichapa Azam bao 1-0 Dar es Salaam jana

 Wachezaji wa Timu ya Simba wakimkumbuka marehemu Mafisango baada ya kuichapa bao timu ya Azam FC
Manara akiwashukuru wapenzi wa Timu hiyo baada ya mchezo kumalizika na Simba kuichapa bao 1-0

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª